14 Oktoba 2012 - 20:30

Jeshi la Syria limeweza kumuuwa Kamanda mmoja wa jeshi la Saudia Arabia katika vita inayoendelea nchini humo.

Ripoti ya shirika la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Jeshi la Syria limeweza kuuwa makanda 4 wa Saudia Arabia na Uturuki katika maeneo ya Maaratu Al-Nuuman.

Aidha jeshi la Syria lilifaanikiwa kuuwa Waasi 13 wengine katika sehemu Diiru Al-Zuur.

Na miongoni mwa waaliouawa katika vita Maaratu Al-Nuuman ni Salim Al-Harby ambae ni mmoja kati ya makamanda wa jeshi la Saudia Arabia wanaosidia Waasi wa nchi ya Syria.